Spotika ni App ya michezo kwa ajili ya simu yako. App
hii itakupasha habari , Ratiba ya Ligi Kuu na majuu, matokeo, misimamo ya ligi , Highlights, kwenye ligi zote maarufu
v1.7.4 Muonekano mpya, maboresho zaidi yamefanyika, taarifa za uhakika na kwa wakati