Radio Maria Tanzania
5
Eğitim | 5.6MB
Radio Maria ni chombo cha mawasiliano cha kikatoliki, kilichoanzishwa hapa nchini mwaka 1996 katika jimbo kuu la Songea, mkoani Ruvuma kwa sasa makao makuu yapo Dar es salaam, Mikocheni.
Lengo lake kuu ni kumjenga msikilizaji kimwili, kiakili na kiroho kupitia vipindi vyake mbalimbali vya kidini na kijamii, vinavyorushwa kwa saa 24.
Sikiliza Radio Maria Tanzania
Güncellendi: 2019-11-15
Mevcut Sürüm: RMT-2.20.7
Gereken Android sürümü: Android 4.4 or later