Mwana Msimbazi Lite
4.45
뉴스/잡지 | 5.7MB
Mwana Msimbazi Lite ni toleo dogo la App maarufu ya Mwana Msimbazi. Ni maalum kwa ajili ya mashabiki wa Simba, Nguvu Moja
Toleo hili limeondolewa sehemu ya mijadala. Utapata habari, ratiba za timu yako pendwa na matukio muhimu yanayoihusu klabu ya Simba
Toleo hili pia limepunguzwa ukubwa. Baada ya kupokea maoni mbalimbali kutoka kwa wadau, toleo hili ni chaguo sahihi kwako mdau wa klabu ya Simba
Fixed Minor Bugs