Mwana Msimbazi Lite icon

Mwana Msimbazi Lite

1.0.5 for Android
4.5 | 5,000+ Installs | Reviews

MSoft Tanzania

Description of Mwana Msimbazi Lite

Mwana Msimbazi Lite ni toleo dogo la App maarufu ya Mwana Msimbazi. Ni maalum kwa ajili ya mashabiki wa Simba, Nguvu Moja
Toleo hili limeondolewa sehemu ya mijadala. Utapata habari, ratiba za timu yako pendwa na matukio muhimu yanayoihusu klabu ya Simba
Toleo hili pia limepunguzwa ukubwa. Baada ya kupokea maoni mbalimbali kutoka kwa wadau, toleo hili ni chaguo sahihi kwako mdau wa klabu ya Simba

What's New with Mwana Msimbazi Lite 1.0.5

Fixed Minor Bugs

Information

  • Category:
    News & Magazines
  • Latest Version:
    1.0.5
  • Updated:
    2020-11-28
  • File size:
    5.7MB
  • Requirements:
    Android 4.4 or later
  • Developer:
    MSoft Tanzania
  • ID:
    com.msoft.mwanamsimbazi_lite
  • Available on:
Reviews
  • avatar
    Big up sana app nzuri sana hiiii
    2020-08-04 11:01