Pata matokeo ya mtihani wa taifa kwa kidato cha SITA (ACSEE) pindi yanapotangazwa na tume husika baada ya kupakua mobile application ya MATOKEO - Kidato cha SITA bure kabisa kupitia simu yako ya mkononi
Hii ni njia rahisi zaidi kwa wanafunzi / wazazi / walezi kuweza kufahamu matokeo na kuyapata kiurahisi kupitia simu zao. Kumbuka application hii ni BUREEE
> Matokeo Ya Mtihani Wa Taifa Wa Kidato Cha Sita 2018
> Form Six ACSEE 2018 National Examination Results 2018