Jifunze Kiingereza, Tenses practice, and Grammar

4.1 (19)

Educational | 23.9MB

Description

Jifunze na jikumbushe kiingereza kwa kufanya mazoezi na kucheza games. App hii imetengezwa ili kumsaidia muongeaji wa Kiswahili kujifunza na kufanya mazoezi ya topics mbali mbali ambazo zinawasumbua wengi wajifunzapo kiingereza.
Toleo hili la kwanza la App hii litajikita katika maelezo na mazoezi ya Tenses za Kiingereza na kanuni zake. Matoleo yajayo yatalenga kuongeza mazoezi na Tenses nyingine zilizo bakia. Malengo ya mbeleni ni kupanua uwanja kwa kuongezea nyanja nyinginezo za Kiingereza kama vile grammar na pronunciation.

Show More Less

What's New Jifunze English

Added Simple Past Tense. Games and a quiz to learn and practice English Simple Past Tense.

Information

Updated:

Version: 2.0.1

Requires: Android 5.0 or later

Rate

Share by

You May Also Like