Ajira Mpya app inarahisisha maisha yako ya kila siku. Inakukusanyia taarifa zote zinazohusu masuala mazima ya ajira zote zinazotangazwa ndani na nje ya nchi ya Tanzania. Pia pata taarifa juu ya:
* Kuitwa kwenye Usaili (Interview)
* Dondoo za Ajira (Jobs Tips)
* Matokeo ya Kielimu (Results)
* Ufadhili wa masomo (Interships)
* Internships
* Updated with more new features