Binago TV icon

Binago TV

現在のバージョン: 9.8
9.3MB 5,000+ 3.0 3
Price: $0

説明 Binago TV

Habari, Injili, Michezo na Siasa Vyote Mkononi Mwako.
App hii ina Channel zaidi ya 100 kama vile beIN Sports, AzamTV Channels na MBC Channels zinazokuwezesha kuangalia mechi zote za Ligi kuu ya Tanzania, EPL, LALIGA, UEFA, EUROPA na Kombe la Dunia live na bure, pia TAMTHILIA, Movies na Channel za Taarifa ya Habari zipo.
App hii inakupa nafasi ya kupata chambuzi zote za SOKA Duniani, pia kusoma magazeti ya kila siku.
Pia unaweza tangaza, weka habari na kushirikisha matukio mbali mbali yanayotokea mahali ulipo kupitia App hii (Tupigie au whatspp 255621663340)
Pakua App hii ya Kitanzania upate vitu vyote hivyo mkononi mwako.

もっと見る 隠す

情報

PackageName icon
ID:
binago.aplicyzk
category icon
カテゴリー:
update icon
更新日:
2021-04-13
version icon
現在のバージョン:
9.8
requirements icon
Android 要件:
Android 4.1 or later
google play icon
Available on:
filesize icon
サイズ:
9.3MB
DOWNLOAD IS NOT SUPPORTED IN WEB STORE!
Use the latest version of 9Apps to download APK&OBB file of games in one click!
DOWNLOAD 9APPS