Je wewe ni shabiki wa Yanga a.k.a Yanga wa Kimataifa?
Kama ni hivyo karibu sana. Ndani ya vijana wa jangwani utaweza kusoma Makala na kupata taarifa mbalimbali kuhusu klabu yako unayoipenda sana. Utaweza kupata ratiba za michezo , matokeo, mijadala na matukio mbalimbali yanayoihusu Yanga ndani na nje ya uwanja.
*******YANGA YA KIMATAIFA********
Are you a fan of Yanga's International Surgeon?
If so it's so close. Among the teenagers you will be able to read articles and get a lot of information about your favorite club. You will be able to find sports schedules, results, discussions and events related to Yanga inside and out of the field.
******* INTERNATIONAL DAY ********