Sudah menemukan beberapa aplikasi menarik? 20,000+ Pengguna mendownload Ufugaji wa Kuku Kitaalamu - (Kuku ni Biashara). versi terbaru di 9Apps secara gratis! Bukan sekedar aplikasi, ini akan mengajarkanmu cara menggunakannya. Aplikasi HOT ini di rilis tanggal 2020-05-19. Lebih banyak aplikasi yang serupa bisa ditemukan disini juga.
Karibu katika App yetu ya ufugaji bora wa kuku jifunze ufugaji kupitia simu yako bure kabisa pakua App
Hii ni App maalum kwa ajili ya kutoa mafunzo juu ya ufugaji bora wa kuku na matibabu kwa njia ya mtandao. Tumejikita katika kutoa mafunzo kuhusu Kuku wa aina zote kutoka wataalamu waliobobea kwenye elimu na mafunzo ya ufugaji wa kuku kitaalamu zaidi.
Elimu ya ufugaji na Matibabu inatolewa bila gharama ili kuwasaidia wafugaji wote kutoka mazingira mbalimbali. Elimu hii itakusaidia zaidi namna ya kupambana na magonjwa ya kuku. Maswali yote ya mifugo na ufugaji yanayowasumbua wafugaji sehemu mbalimbali za nchi yatapatiwa majibu kupitia app hii.
Fuatilia makala zetu kila siku ili upate elimu bora ufugaji wa kuku, kwa kuzingatia kanuni na mbinu za kisasa. Hakika hapa utapata elimu ya ufugaji wa kukubure kabisa na usisite kuwashirkisha wengine nao wafaidi elimu ya bure.
Katika mafunzo yetu utapata ya kujifunza matunzo ya kuku kwa hatua zote magonjwa ya kuku na tiba zake kwa kina zaidi.
App Mpya bora ya ufugaji wa kuku
-Imeboreshwa zaidi.
-Mafunzo na Elimu ya kutosha ya ufugaji wa kuku.
-Notification On/Off Option.
-Makala na mafunzo mapya kila siku.
-Rahisi kutumia.