Ufugaji Bora-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu иконка

Ufugaji Bora-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu

1.0 for Android
4.7 | 5,000+ Количество установок

Mshindo Media

Описание для Ufugaji Bora-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu

Hii ni App maalum kwa ajili ya kutoa mafunzo juu ya ufugaji na matibabu kwa njia ya mtandao. Tumejikita katika kutoa mafunzo kuhusu wanyama kama vile Kuku, Ng'ombe, Mbuzi, Sungura na wengineo.
Pamoja na App hii pia tuna Group letu la WhatsApp, hapa utajiunga kwa kupiga namba hii 0762 799 080 kisha utapewa maelekezo zaidi.
Pia App yetu ipo sambamba na Website yetu maalum inayoitwa MshindoVeterinaryCentre.com. Utakua na uwanja mpana wa kujifunza na kutoa maoni na maswali kupitia sehemu ya Comments.
Zaidi ya yote tunakukaribisha Ujifunze, Uelimike katika ufugaji wenye tija kibiashara.
Mawasiliano.
Email: mshindomediatz@gmail.com
WhatsApp: 0762 799 080
Website: www.mshindoveterinarycentre.com
NB. Ukiwa na mahitaji ya kutengenezewa Android App, Blog na Website.
Wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyotajwa hapo juu.

Обновить Ufugaji Bora-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu 1.0

Offline mode enabled
Added Social networks
Added Tanzanian Local Radios
Youtube channels enabled
Auto push notification
- Latest Updates
Bugs Fixed and Performance Improved

Информация

  • Категории:
    Образование
  • Последняя версия:
    1.0
  • Обновлено:
    2020-06-08
  • Размер файла:
    8.7MB
  • Требования:
    Android 4.1 или более поздняя
  • Обновлено:
    Mshindo Media
  • ID:
    com.ufugaji.Vet