Obus

3 (10)

Путешествия | 7.0MB

Описание

Tumia Obus kukata tiketi ya bus ulipendalo kuelekea popote nchini Tanzania.
Haina haja ya kupoteza muda, nauli au mafuta ya gari lako, kusumbuka na foleni barabarani ili ufike stendi kukata tiketi ya bus kwa ajili ya safari yako.
Tumia OBUS kukata ticket ya safari yako kwa gharama ileile ya nauli ya bus ulipendalo.

Show More Less

Информация

Обновлено:

Версия: 1.0.3

Требования: Android 4.1 или более поздняя

Оценка

ПОДЕЛИТЬСЯ

Похожие