Mwana Jangwani Lite ni toleo dogo la App maarufu ya Mwana Jangwani. Ni maalum kwa ajili ya mashabiki wa Yanga, timu ya Wananchi.
Toleo hili limeondolewa sehemu ya mijadala. Utapata habari, ratiba za timu yako pendwa na matukio muhimu yanayoihusu klabu ya Yanga
Toleo hili pia limepunguzwa ukubwa
Fixed minor bugs