TanzMED

3 (6)

건강/운동 | 1.7MB

기술

Jukwaa la Maarifa juu afya Tanzania kwa kutumia lugha ya kiswahili, TanzaMED inakuwezesha kujifunza, kuelimika, kupata ushauri, kuuliza maswali na kupata maibu, pamoja na maelekezo kuhusu sehemu sahihi ya kupata tiba na ushauri kwa tatizo lako,TanzMED inakurahisishia kwa kukupa maelekezo ya haraka kuhusu kumuona daktari atakaye kusaidia shida yako.
Lengo kuu likiwa ni kuisaidia jamii ya Watanzania kuwa na upeo juu ya masuala yanayohusu Afya. Mtandao huu unajumuisha watalaamu kutoka nyanja mbalimbali za Afya huku tukikupa mwanajamii nafasi ya kuelimika, kujifunza na hata kuuliza.
TanzMEd orodha inakupa nafasi ya kupata taarifa yoyote, iwe Hospitali, Zahanati, Duka la dawa nk lililo karibu yako.

Show More Less

새로운 소식 TanzMED

Kwenye toleo hili, utaweza; Kusoma makala, kuuliza maswali, kupata orodha ya hospitali,maduka ya madwa, zahanati na mengine meni.

정보

업데이트 날짜:

현재 버전: 1.0

필요한 Android 버전: Android 4.0.3 or later

Rate

Share by

당신은 또한 좋아할 수 있습니다