Siku Zangu
3
건강/운동 | 1.5MB
Jikinge na mimba za bila kutarajia. Rekodi kila tarehe unayoingia periods kupitia app hii ya bure. Mwanamke zijue siku zako za hatari na siku salama kwa mzunguko wa mwezi mzima. Rangi nyekundu inaashiria sku za periods, rangi ya njano, ni siku salama na rangi ya blue ni siku za hatari unazoweza kubeba mimba.