Sec4G

3 (5)

커뮤니케이션 | 2.8MB

기술

SEC 4G ni App ya Uinjilisti inayohusika na usajili wa mkutano wa mawasiliano katika conference ya SEC. Kwa kupitia App hii wadau wote wa mawasiliano katika konferensi ya Kusini Mashariki mwa Tanzania watakuwa na fursa ya kujisajili kwa nji ya kisasa zaidi. Pia kupitia App ii wataweza kujua namna ya kulipia kiingilio, kujisajili na kuwatambua wahudumu na mada watakazo zitoa katika mkutano huo. Inategemewa kuwa ratiba na baadhi ya mada za semina hizi zitapachikwa katika App hii. Karibuni

Show More Less

정보

업데이트 날짜:

현재 버전: 1.0

필요한 Android 버전: Android 4.0 or later

Rate

Share by

당신은 또한 좋아할 수 있습니다