Sifa Mix (Kusifu, Kuabudu, Tenzi ) icon

Sifa Mix (Kusifu, Kuabudu, Tenzi )

3.0 for Android
4.1 | 10,000+ インストール

Swahili Zone Tz Inc

説明 Sifa Mix (Kusifu, Kuabudu, Tenzi )

Kwakupitia application hii waweza kuplay wimbo uupendao kutoka kwa msanii umpendaye
kiurahisi bila kupoteza muda,
Sikiliza
- Nyimbo za Kuabudu
-Nyimbo za Sifa
-Nyimbo za Tenzi
App hii usiichukulie kama kifurahisha roho bali
Neno lina sema Katika
Yohana. 4:23-24
Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu. Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
ingia rohoni umwabudu mungu yey ndiye awezaye peke yake

新機能 Sifa Mix (Kusifu, Kuabudu, Tenzi ) 3.0

New Song
Fix Bugs
Add Radios Stations

情報

  • カテゴリー:
    音楽&オーディオ
  • 最終のバージョン:
    3.0
  • 更新日:
    2020-02-11
  • サイズ:
    5.0MB
  • 動作環境:
    Android 4.2 or later
  • 開発元:
    Swahili Zone Tz Inc
  • ID:
    com.sifa.mix