ikon TanzMED

TanzMED

1.0 for Android
3.0 | 10,000+ Instal

Dudumizi Technologies

Penjabaran dari 9apps TanzMED

Recently, we found a very popular application. 20,000+ users downloaded TanzMED latest version on 9Apps for free every week! With unexpected, recently it has become very popular in India. This hot app was released on 2017-04-15. Don’t be hesitate, download and install it on your mobile phone now!
Jukwaa la Maarifa juu afya Tanzania kwa kutumia Bahasa ya Kiswahili, TanzaMED inakuwezesha kujifunza, kuelimika, kupata ushauri, kuuliza maswali na kupata maibu, Pamoja na maelekezo kuhusu sehemu sahihi ya kupata Tiba na ushauri kwa tatizo lako, TanzMED inakurahisishia kwa kukupa maelekezo ya haraka kuhusu kumuona Daktari atakaye kusaidia shida yako.
Lengo kuu likiwa ni kuisaidia jamii ya Watanzania kuwa na upeo juu ya masuala yanayohusu Afya. Mtandao huu unajumuisha watalaamu kutoka Nyanja mbalimbali za Afya huku tukikupa mwanajamii nafasi ya kuelimika, kujifunza na hata kuuliza.
TanzMEd orodha inakupa nafasi ya kupata taarifa yoyote, iwe Hospitali, Zahanati, Duka la dawa nk Lililo karibu yako.

Memperbarui TanzMED 1.0

Kwenye toleo hili, utaweza; Kusoma makala, kuuliza maswali, kupata orodha ya hospitali,maduka ya madwa, zahanati na mengine meni.

Informasi

  • Kategori:
    Kesehatan & Kebugaran
  • Versi Terbaru:
    1.0
  • Perbarui:
    2017-04-13
  • Ukuran File:
    1.7MB
  • Persyaratan:
    Android 4.0.3 or later
  • Diupdate:
    Dudumizi Technologies
  • ID:
    com.dudumizi.tanzmed