Walimu Forums
Pendidikan | 3.2MB
Walimu Forums ni forum inayowakutanisha walimu wa shule za sekondari na shule za msingi kujadili kwa pamoja, kuboresha elimu na kubadilishana uzoefu katika idara ya elimu Tanzania. Pia walimu watapata fursa ya kubadilishana uzoefu wa shughuli za kijasiliamali pia na kubadilishana vituo vyao vya kazi.
Forum Guru adalah forum yang menyatukan guru sekolah menengah dan sekolah dasar untuk berdiskusi bersama, meningkatkan pendidikan dan berbagi pengalaman di departemen pendidikan di Tanzania. Guru juga akan memiliki kesempatan untuk berbagi pengalaman kegiatan kewirausahaan serta bertukar pusat kerja mereka.
Walimu Forums imegawanyika katika makundi yafuatayo
* Uhamisho
* Ujasiliamali
* Geography
* History
* Civics
* Kiswahili (SEC)
* English Language
* Biology
* Chemistry
* Physics
* Mathematics
* Economics
* Commerce
* B / Keeping
* Historia
* Sayansi
* Uraia
* Kiingereza
* Hesabu
* Kiswahili (SM)
* Maarifa ya Jamii
* Haiba na Michezo
* Stadi za kazi
* Tehama