Simba App

4.5 (44)

Deportes | 16.0MB

La descripción de

Je wewe ni shabiki kindakindaki wa wekundu wa Msimbazi? Basi karibu ndani ya Simba App ya Mwana Msimbazi imetengenezwa maalumu kwa ajili yako. Ukiwa na Mwana Msimbazi utaweza kupata taarifa muhimu pia kusoma makala mbalimbali kuhusu klabu ya Simba. Jiunge kijiweni, jadiliana na mashabiki wengine kote duniani. Hii ni maalumu kwa ajili yako

Show More Less

Novedades Simba App

*Angalia Video za Marudio mechi za Simba
*Kuangalia Habari zote za Simba bila ya Kuwasha data(Offline)

Información

Actualizada:

Versión actual: 3.5.5

Requiere Android: Android 5.0 or later

Rate

Share by

Recomendado para ti