Usisahau Change kwa Nganya

3 (5)

السفر ومعلومات محلية | 5.4MB

تفاصيل التطبيق

Hakuna kitu huwa inauma kama kusahau hiyo 970 au 470 kwa nganya after umelipa fare, especially ikiwa ni asubuhi na unaenda job. Hiyo situation inakuanga tricky na inaeza kuspoilia siku au ilete nuksi zingine.
Good news ni kwamba kusahau change kwa nganya imekuwa mambo ya tene.
Ukiwa na hii app utaweza kuset alarm ⏰.
Alarm yenyewe ikiwa ni ya madikika unataka ikushtue ndio uitishe change yako.
Kutumia hii app ni simple tu sana
✔️ Click add button ndio uadd balance reminder.
✔️ Swipe left or right kufuta hiyo reminder.
✔️ Ukitaka kuedit reminder just tap on it.

Show More Less

المعلومات

تحديث:

الإصدار: 1.0

نظام الأندرويد المتوافق: Android 4.1 or later

التقييم

مشاركة

ما قد تحب