Sifa Mix (Kusifu, Kuabudu, Tenzi )

4.1 (37)

الموسيقى والصوت | 5.0MB

تفاصيل التطبيق

Kwakupitia application hii waweza kuplay wimbo uupendao kutoka kwa msanii umpendaye
kiurahisi bila kupoteza muda,
Sikiliza
- Nyimbo za Kuabudu
-Nyimbo za Sifa
-Nyimbo za Tenzi
App hii usiichukulie kama kifurahisha roho bali
Neno lina sema Katika
Yohana. 4:23-24
Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu. Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
ingia rohoni umwabudu mungu yey ndiye awezaye peke yake

Show More Less

ما هو جديد Sifa Mix (Kusifu, Kuabudu, Tenzi )

New Song
Fix Bugs
Add Radios Stations

المعلومات

تحديث:

الإصدار: 3.0

نظام الأندرويد المتوافق: Android 4.2 or later

التقييم

مشاركة

ما قد تحب