Tafuta maneno - swahili game

3 (10)

Palavras | 7.8MB

A descrição de

**Tafuta maneno**
Tafuta maneno swahili ina maneno zaid ya 300 ya kwnye kamusi ya kiswahili sanifu. Shindana na rafiki zako sasa kutengeneza maneno ya kiswahili kupitia Tafuta maneno
Tafuta Maneno muonekano wake
-Tafuta maneno swahili ina leaderboard unaweza kushindana na rafiki yako kwa kupata score nyngi ndani ya swahili
-tafuta maneno ina maneno ya kiswahili zaid ya 300 ya kwnenye kamusi ya kiswahili
-Inapatikana katika lugha ya kiswahili au swahili
-Tafuta maneno swahili mtu yeyote anaweza kucheza hata kama hajui english
-Tafuta maneno swahili ni offline unaweza kucheza hata kama hauna data
-Tafuta maneno swahili haihitaji malipo ni bure kucheza
-Tafuta maneno swahili imetumia lugha sanifu au fasaha ya kiswahili
-Tafuta maneno swahili ina michezo au mchezo wa wa kuburudisha au kuchangamsha akilia (IQ)
** Search for words **
Search word Swahili has more than 300 words in standard Swahili dictionary. Compete with your friends now to create Swahili words through Find words
      Search Words for their appearance
- Search for words english has a leaderboard you can compete with your friend by getting multiple score in english
- Search terms contain more than 300 Swahili words in a Swahili dictionary
- Available in Swahili or Swahili
- Find the words english anyone can play even if they don't know english
- Find words english is offline you can play even if you don't have data
- Find words english does not require payment is free to play
- Search for words english has used standard language or Swahili language
- Find words english contains a game or game of amusement or amusement (IQ)

Show More Less

O que há de novo TAFUTA MANENO

ina leaderboad unaweza kuangalia point za wenzako au kushindana nao na unaweza kucheza ukiwa hata huna data

Informações

Atualizada:

Versão atual: 1.14.9z

Requer Android: Android 4.2 or later

Rate

Share by

Recomendado para você