- Maswali ya kutongoza
-Maswali ya kubembeleza
-Maswali ya msichana
-Maswali ya kupata mchumba
-Maswali ya bibi
-Maswali ya kupata mke
-Maswali ya mchumba
-Pata mchumba
-Pata bibi
Uliza maswali msichana unaye mpenda
Je! Unataka kupata mke, au bibi? Basi app hii ni yako wewe. Uliza maswali yafaayo kwa mrembo yeyote ili upate mke. Wasichana ni watu wenye kutaka kushawishiwa. Kama hauna mistari wewe hutapata mke. Ni lazima ujifunze jinsi ya kuongea na msichana.
Maswali
Kama mume, ni lazima uulize maswali yeney manufaa, ni lazima ufanye kidosho ajisikie nyumbani. App hii inakusaidia ili upate namna ya kuongea na msichana au binti.
Maswali ya kutongoza
Kuna maswali mengi ambayo unweza uliza mpusa wako, kitu cha kwanza ni wewe uwe na ujasiri na kujiamini ili uweze kuzungumuza na mrembo. Kupata mapenzi ni kitu cha maana sana kwa mume. App hii itakufunza vile uta zungumuza na mpusa wako au mrembo wako.
Vidokezo
-Zifuatazo ni njia za kusalimu binti kwa heshima na mahaba ndiposa akupe muda wake.chagua itakayo kufaa.
-Baada “toto” kukubali salamu; kwanza mpe shukrani, tumia utaalamu kabambe kuanzisha mazungumzo ndiposa avutiwe nawe zaidi.anza na;
-Baada ya binti kukupa muda wake kua mcheshi wa mistari ya mahaba ambayo itammfanya avutiwe kwako zaidi atamani kukuskiza zaidi.
-Anza kumsifia maumbile ya kike ni raha kwao unapo mpa sifa kochokocho.
-Anza kumbeleza adeke kama mtoto akupende.
-Maswali ya kumuuliza juu yako
-Maswali ya kumuuliza kumuhusu
-Maswali ya vitu apendayvo
-Maswali ya kumuuliza mnapo kula
-Maswali ya mazungumzo baada ya mankuli
-Pakua app hii na jifunze jinsi ya kuzungmuza na warembo.
-Nipe upendo na simulia kiwango cha uzuri wa app hii.
Onyo
-Usiwe mtu wa kutolesha nakala za wengine hata wewe kuwa mbunifu.
- Bug fix.