ikon Ushairi wa Mwanagenzi

Ushairi wa Mwanagenzi

Versi: 16.01
6.9MB 10,000+ 3.0 3
Price: $0

Deskripsi Ushairi wa Mwanagenzi

Ushairi wa Mwanagenzi ni kitumizi kinachompa tumaini mshairi chipukizi aliye na ari ya kuwa malenga ili kuendeleza fani ya ushairi. Pamoja na kuimarisha washairi chipukizi. kitumizi hiki huelimisha na kuchanganua masuala tofauti yanayohitajika katika ushairi bora.
Utasoma mengi kutoka kwa washairi chipukizi nchini Kenya na Tanzania. Makala yametolewa kwa tovuti ya www.mwanagenzi.com
iliyo na lengo la kuwapa moyo washairi chipukizi. Kuna maelezo kemkem yanayoelezea na kufafanua kuhusu ushairi wa Kiswahili. Ni maelezo na mashairi yatakayomfaa mwanafunzi wa shule ya msingi, sekondari au chuo kikuu.
Hivi hapa vidokezo vya kitumizi hiki:
- Mpangilio mwafaka wa maelezo kwa lugha teule ya Kiswahili.
- Mashairi yaliyopangwa kwa aina, washairi, maudhui na bahari.
- Arifiwa punde tu tunapochapisha mashairi mapya.
- Tafuta mashairi kulingana na maudhui, watunzi au maneno kwenye mashairi
- Picha iliyoteuliwa kwa kila shairi inayoambatana na dhamira ya kila shairi.
- Soma shairi moja
kwa jingine kwa urahisi wa kufungua.
- Hifadhi mashairi kwa kubonyeza kitufe ili uyasome baadaye.
- Shirikisha mashairi na makala kwa wengine kutumia Whatsapp, Facebook n.k.
- Linki muhimu zitakazokuelekeza kwa tovuti za Mwanagenzi Mtafiti.
Tutazidi kusasisha kitumizi hiki na kuongeza maelezo, mashairi na makala mbalimbali ili kukufaa zaidi. Tafadhali kipendekeze kwa kuweka nyota tano.
Shukran.

Tampilkan Selengkapnya kurang

Yang Terbaru Ushairi wa Mwanagenzi

- Kifaa cha kutafutia mashairi
- Picha mpya ya utangulizi
- Mpangilio mpya wa kurasa za mashairi
- Linki mpya kuhusu maelezo ya ushairi
- Mashairi mapya kutoka kwa washairi mbalimbali
- Ukubwa wa programu umepunguzwa
- Mabadiliko madogo madogo

Informasi

PackageName icon
ID:
mobi.androapp.mwanagenzi.c7834
category icon
Kategori:
update icon
Perbarui:
2018-07-31
version icon
Versi:
16.01
requirements icon
Butuh:
Android 4.0.3 or later
filesize icon
Ukuran File:
6.9MB
DOWNLOAD IS NOT SUPPORTED IN WEB STORE!
Use the latest version of 9Apps to download APK&OBB file of games in one click!
DOWNLOAD 9APPS