Lishe App

3 (9)

건강/운동 | 6.0MB

기술

LISHE APP ni program itakayokusidia kutimiza malengo yako kiafya kwa kukusaidia kukupa elimu ya afya,Magonjwa na Kukubunia Mapishi mbalimbali yatakayo kuvusha uondokane na magonjwa Sugu ya Lishe kama
*Kitambi
*Kisukari,
Presha,
Pumu,
Ugumba
,Upungufu wa nguvu za kiume,
magonjwa ya ngozi na mengineyo.
LISHE APP imekua chachu kubwa ya Kuigusa jamii imewafikia maelfu na kuwaponya watu kila siku kupitia elimu yake ambavyo inaleta shuhuda kila siku za Kuwasaidia wagonjwa kutua maradhi haya ya lishe.
Kwa pamoja makusudio yetu Upone kwa gharama ndogo kwa kutumia jiko lako na vyakula unavyonunua sokoni bila kutumia dawa Yoyote kali ambayo inaweza kuacha majeraha mengine ya Mwili.
Suluhisho la magonjwa kama vile:
Kitambi
Presha
Ugumba
Nguvu za kiume
Kisukari

Show More Less

정보

업데이트 날짜:

현재 버전: 3.2.0

필요한 Android 버전: Android 4.1 or later

Rate

Share by

당신은 또한 좋아할 수 있습니다